Msaada: wapi naweza kupata training nzuri ya Oracle Database

Msaada: wapi naweza kupata training nzuri ya Oracle Database

second9

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
294
Reaction score
628
Wakuu naomba msaada ni chuo gani kwa Tanzania naweza kupata training ya Oracle Database ya uhakika na nikafanya pepa ya certification.
 
Njoo Bukoba MLVTC utapata training sahihi ya iyo DBMS au nicheki kwa 0752861997 au 0782851219 kwa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom