Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,230
Ipo store, una uhakika tv yako Ina Roku?Hallo Cheif naingiaje netflix naishia youtube tu
Ipo store, una uhakika tv yako Ina Roku?Hallo Cheif naingiaje netflix naishia youtube tu
Aura mall niliziona za kichina 30,000 za Bluetooth.Mkuu hebu naomba maelezo ya hyo keyboard ambayo unaweza ukatumia kwenye smart tv,je ni wireless? Na inapatikana wap maana ukitumia keyboard kwa kutumia remote ya tv vidole mpaka vinauma dadeq[emoji23]
TV TCL Haina. Nikichofanya nina ROKU ya nje nachomeka kwenye HDM1, halafu nafanya setup ya chromecast inakubali kuona youtube toka kwenye simu.Ipo store, una uhakika tv yako Ina Roku?
Store umecheki hakuna Netflix? Ina rangi ya purple Kila sehemu hio Roku?TV TCL Haina. Nikichofanya nina ROKU ya nje nachomeka kwenye HDM1, halafu nafanya setup ya chromecast inakubali kuona youtube toka kwenye simu.
Store umecheki hakuna Netflix? Ina rangi ya purple Kila sehemu hio Roku?
Na ninavyofahamu Roku ni kitu chengine na Chromecast ni kitu chengine.
Tcl 32 Roku zipo za fhd au ni hd pekee maana Kuna mtu anauza yupo mkoani huko anadai ni full hdKama unaagizishia online subiria tarehe 18 mwezi huu. $20 roku express black friday deals.
Hata mimi naikubali sana Roku as os.
Muulize model mkuu, watu wengi mtaani hawajui tofauti ya Full HD na HDTcl 32 Roku zipo za fhd au ni hd pekee maana Kuna mtu anauza yupo mkoani huko anadai ni full hd
Vp naweza ichukua au