Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,829
- 5,288
Wachecki JUMIA ya TanzaniaNaweza pata hii hapa bongo?
TCL 32S305 720p Roku Smart LED TV
Wachecki JUMIA ya TanzaniaNaweza pata hii hapa bongo?
TCL 32S305 720p Roku Smart LED TV
Sawa MkuuWachecki JUMIA ya Tanzania
Wahuni mie wananikeraRoku kupata issue...wabongo wakipost wanapost TCL roku Tv ila ukfka dukan utaanza kucheka mwenyew [emoji3][emoji3]
Maisha yako yote..sijui kama hao jumia hawaendelezi uswahili uleule wa kuuza GoLive Tv kwa picha za TCL RokuWachecki JUMIA ya Tanzania
Kuna jamaa mmoja nilimchana humu akatokwa povu kinyama, binafsi mi nimenunua TCL GoLive nikifikiri ni Roku Tv! Jamaa washenzi kweliSi ndo hapo mkuu nimezunguka mpaka basi naona solution ninunue roku streaming stick tu. Sijui kwann hawawekag picha halisi za mizigo waliyonayo
😂😂😂😂😂Maroku tenaMi hata sina nijualo kuhusiana na hiyo MAROKU
Hapana, hio subiria labda 2022 ndio wataanza kuzileta Kariakoo kwa mbwembwe wakati wenzetu wamehamia kwenye technology nyingine kabisaNaweza pata hii hapa bongo?
TCL 32S305 720p Roku Smart LED TV
Mkuu ninayo Roku streaming kuunganisha ni issue samhani kwa kudandia uzi mkuu.Si ndo hapo mkuu nimezunguka mpaka basi naona solution ninunue roku streaming stick tu. Sijui kwann hawawekag picha halisi za mizigo waliyonayo
Sijawahi jua hayo, mimi nilichukua TCL Roku kwaajili ya Wazee wangu, iko vizuri kabisa.Maisha yako yote..sijui kama hao jumia hawaendelezi uswahili uleule wa kuuza GoLive Tv kwa picha za TCL Roku
Toka Jumia?Sijawahi jua hayo, mimi nilichukua TCL Roku kwaajili ya Wazee wangu, iko vizuri kabisa.
Msaada WAP kwa dar naeza pata tcl smart TV inch 32 yenye built in ROKU TV maana nimezunguka madukan lakin nyingi in model za zaman ambazo hazina hii roku service. Au tcl zenye android OS atleast
Kuunganisha nini? Roku siku hizi wameban vitu bongo utatumia tu Netflix na youtubeLuna MTU anasema kuunganisha ni kazi kweli kwelii ,kivipi?
Kuunganisha nini? Roku siku hizi wameban vitu bongo utatumia tu Netflix na youtube
Mimi nilikuwa natumia M3U playlist player, ila wameban Sasa hivi. Ni ngumu kupata chanell za bure.Kuunganisha nipate free channel,,
Kuunganisha nipate free channel,,
Asante mkuuMimi nilikuwa natumia M3U playlist player, ila wameban Sasa hivi. Ni ngumu kupata chanell za bure.
Kuna Plex na Emby nasikia unaweza ku configure iptv ila step zake ni ngumu kidogo.
Ushauri ni vyema kutafuta tu Android TV kwa sasa.
Labda Kama huna Roku, ila Netflix ipoHata netflix mi kwangu hamna
Mkuu hebu naomba maelezo ya hyo keyboard ambayo unaweza ukatumia kwenye smart tv,je ni wireless? Na inapatikana wap maana ukitumia keyboard kwa kutumia remote ya tv vidole mpaka vinauma dadeq[emoji23]inakua rahisi ku navigate kama una keyboard yenye mouse hapo hapo kama hii!
View attachment 926342
Hallo Cheif naingiaje netflix naishia youtube tuLabda Kama huna Roku, ila Netflix ipo