Msaada: Wapi kilipo chuo kizuri cha kutoa mafunzo ya utengenezaji wa simu especially smartphone's

Godlisten Masawe

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
738
283
habari za miangaiko wakuu?

Nauliza chuo gani kinatoa mafunzo ya utengenezaji wa simu za mkononi especially smartphone's (hardware & software), napenda sana kupata ufahamu wa hii kitu kwa faida yangu.
 
habari za miangaiko wakuu?

Nauliza chuo gani kinatoa mafunzo ya utengenezaji wa simu za mkononi especially smartphone's (hardware & software), napenda sana kupata ufahamu wa hii kitu kwa faida yangu.

GOOGLE INTERNATIONAL UNIVERSITY ndiyo mwisho wa maneno, tena ada ni bure kabisa, all you need is basic IT knowledge!
 
Back
Top Bottom