No_Worries
Member
- Sep 27, 2016
- 69
- 24
Unapatikana wapi mkuuWakuu,
Nina shule ya watoto wadogo na nahitaji kupata t-shirts kwa bei ya jumla. Dar ni maduka gani yanauza hii kitu?
Wakuu,

Unapatikana wapi mkuu
Asante mkuu kwa contacts, ubarikiwecall 0715357396 aliniuzia tshirt last month
karibu tshirt garage mabibo hostel
sisi ndio mabingwa wa tshirts za shule.. unaweza ingia page yetu instagram ujioneee kinachoendelea au kufika ofisini kwetu..
0718 537 216
mm naafanya ninaprint tshirt kwa bei poa na ubora tuwasiliane mkuu niPMNa yupi anafanya t-shirt printing kwa bei fresh lakini kwa ubora wa hali ya juu?
Cheers, nakuPM muda si pundemm naafanya ninaprint tshirt kwa bei poa na ubora tuwasiliane mkuu niPM
Alikuuzia kwa bei gani?call 0715357396 aliniuzia tshirt last month