msaada wap nikasome tally!

msaada wap nikasome tally!

cielo

Senior Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
130
Reaction score
13
wapendwa naomba mnisaidie, wapi wanafundisha tally accounting package ? Ikiwa mitaa ya ubungo hadi mwenge au had tabata itakuwa vyema.
 
Naifaham sehemu moja inaitwa APTECH ila ipo maeneo ya posta karibu na barclays pale ohio street inatia huduma ya mafunzo ya tally.
 
wapendwa naomba mnisaidie, wapi wanafundisha tally accounting package ? Ikiwa mitaa ya ubungo hadi mwenge au had tabata itakuwa vyema.

Nenda Highridge Training College karibu na wizara ya utalii makao makuu (mpingo house) wanafundisha vizuri sana tena unapanga muda wako wewe mwenyewe unaokufaa kama upo tayari ni mp nikupe no ya mwl,malipo ni sh 100000 kwa mwezi.
 
nenda kasome pale zoom college karibu na NMB MAGOMENI USALAMA wanafundisha packages zote.
 
wapendwa naomba mnisaidie, wapi wanafundisha tally accounting package ? Ikiwa mitaa ya ubungo hadi mwenge au had tabata itakuwa vyema.

kama unataka kusoma accounting packages inategemea ofisi yako mnatumia aina gani usikurupuke tu kusoma,ila tally ndo basic ya all accounting packages especially in tz,lakini huko duniani kuna packages zaidi ya mia tano(500) na kama ikijua pastel na sunsystem itakuwa poa
 
ni pm ntakuonesha sehem ya kusoma maeneo hayahaya ya ubungo bei mzuri
 
Nenda Highridge Training College karibu na wizara ya utalii makao makuu (mpingo house) wanafundisha vizuri sana tena unapanga muda wako wewe mwenyewe unaokufaa kama upo tayari ni mp nikupe no ya mwl,malipo ni sh 100000 kwa mwezi.

weka namba ili kuwasaidia na wengine..
 
Ukipata Mahali pa kujifunzia; Usisite pia kutafuta Vitabu vya tally and other Acc packages. kutoka kwa mimi LIBRARY
 
wapendwa naomba mnisaidie, wapi wanafundisha tally accounting package ? Ikiwa mitaa ya ubungo hadi mwenge au had tabata itakuwa vyema.

hata mimi naweza kukufundisha hiyo tally. Kama upo tayali sema nikutafute kwa maelewano zaidi
 
mm nipo tabata ila naweza kukufata huko uliko. Nitakupa ujuzi wa tally
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom