Mapirobe
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 683
- 117
*TANGAZO* *LA* *KUPOTELEWA* *NA* *VYETI*
Naitwa *WILBERT* *SYLVESTER* natangaza kupotelewa na vyeti vifuatavo: *CS No. 358580* *CSEE* *1997* *Pamba* *Secondary* *Index no S0546/0115*. Cheti cha pili kilichopotea ni *ACS No 103730* cha *ACSEE May 2000* chenye *index no S0350/0645* *Shinyanga Commercial Institute*. Cheti cha tatu ni cha *Diploma in Accountancy* kilichotolewa mwaka 2011 na *CBE*. Vyeti vyote vina jina langu, yaani *WILLBERT SYLVESTER*.
Naomba yeyote aliyeviokota vyeti hivi au mwenye taarifa inayoweza kusaidia kupatikana kwavyo, awasiliane kwa kutumia namba zifuatazo: *0762 271 624 au 0768 765 387*. Aidha, naomba tasaidiane kusambaza taarifa hizi kwenye Magrupu yetu ili kusaidia upatikanaji wa vyeti husika. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwenu na *Mwenyezi Mungu* awabariki kwa Ushirikiano wenu.
*18/06/2016*.