Ahaaa sawa mkuu nashukuruNenda kaiflash ndo tatizo litaisha
ifanyie hard resetHeshima kwenu wakuu
Nina simu yangu aina ya Tecno M3 Sasa takribani siku kadhaa sasa kila nikiiwasha inaishia kuandika tecno tu basi haiendelei zaidi ya hapo nikizima haizimi hadi nitoe betri ila nikiiwasha ndo kama ivo inaishia kuandika tecno kutwa nzimz..Msaada wenu Tafadhali
Daaah mkuu nimejaribu hiyo hard reset lakini bado inaishia kuandika tecno tu mkuu haiendelei zaidi ya hapoFanya hard reset by pressing volume up +power button
Kisha tumia volume up & down buttons kufanya navigation
Select wipe data and reset phone , by pressing power button to select
Hard reset bado inagoma mkuuifanyie hard reset
eeeh mwingine huyu, kazi kweli kweli.subiri troublemaker pitia huku
msaidie jamaa bhana tecno yake inamsumbuaeeeh mwingine huyu, kazi kweli kweli.
Fanya hard reset by pressing volume up +power button
Kisha tumia volume up & down buttons kufanya navigation
Select wipe data and reset phone , by pressing power button to select[/QUOTE
Sawa mkuu ngoja nifanye mpango wa kuflashHardware reset, haitatui tatizo kwenye tecno -M3 (flashing will solve his problem)