Msaada: Wanaojua jinsi ya kuinstall TV Touchscreen kufundishia

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
2,898
3,006
Nataraji mumeamka salama na familia zenu.

Wakuu naomba msaada kwa wale wanaojua jinsi ya kuinstall Tv touchscreen (kwa matumizi ya kufundishia)

Shukrani

Mola awe nanyi.
 
Sidhani kama inawezekana naonaga zile ni touchscreen toka kiwandani, ila subiri wataalamu waje.
 
Zipo board za namna hio mkuu sema bei zake ni ndefu milioni 10 kupanda.
images


Alternative kuna Touchscreen ambazo unaweka kwenye kifaa chako kama tv unaivishia kwa juu hizi ni Around laki 5, sema ufanisi wake sijajua ni kiasi gani, unaweza google touchjet wave
 
Back
Top Bottom