Ndugu zangu naomba msaada wenu wapi naweza kupata baiskeli ya kumsaidia mgonjwa ambaye hawezi kutembea baada ya kuvunjiku mguu. Ninaihitaji kwa haraka sana. Mwenye kufahamu inakopatikana naomba anifahamishe. Email me vanneyus@gmail.com
Nimeweka sample ya picha hapa chini.
Nashukuruni sana.
Nimeweka sample ya picha hapa chini.
Nashukuruni sana.