Msaada wanaJF, tafadhali nina tatizo

Kumbila medi

Member
May 31, 2017
99
69
Msaada ninaohitaji hapa wana jf ni kwa wale wataalamu wa masuala ya Reproduction. Tupo ktk ndoa yapata miezi saba sasa na hakuna dalili za upatikanaji wa mimba. Naomba mnisaidie kwa mnofahamu kuhusu utungishwaji wa mimba Nina ham sana ya kuitwa baba.

Msaada tafadhali!

Nawasilisha kwenu wakuu.
 
Ais

Msaada tafadhali!!!
Nawasilisha kwenu wakuu.
we wewe bado Ni mtoto Sana, subir ten years
 
Msaada ninaohitaji hapa wana jf ni kwa wale wataalamu wa masuala ya Reproduction. Tupo ktk ndoa yapata miezi saba sasa na hakuna dalili za upatikanaji wa mimba. Naomba mnisaidie kwa mnofahamu kuhusu utungishwaji wa mimba Nina ham sana ya kuitwa baba.
Msaada tafadhali!!!
Nawasilisha kwenu wakuu.
Angalia huo mzunguko.kuanzia tarehe 11 mpaka 16.kandamiza kisawa sawa mimba lazima.
Vinginevyo mtakuwa na matatizo.mkamuone daktari
31dfaeb15fa76b02e6d7b72277ee6dbf.jpg
 
Mkuu miezi saba mapema sana kuwa na stress unless unajishtukiaa...hujawahi kuwa hata na wakusingiziwa? kula vizuri,fanya mazoezi na pata mda kupumzika kitu kitajipa tu...
 
Msaada ninaohitaji hapa wana jf ni kwa wale wataalamu wa masuala ya Reproduction. Tupo ktk ndoa yapata miezi saba sasa na hakuna dalili za upatikanaji wa mimba. Naomba mnisaidie kwa mnofahamu kuhusu utungishwaji wa mimba Nina ham sana ya kuitwa baba.
Msaada tafadhali!!!
Nawasilisha kwenu wakuu.
pole sana nenda kwa daktari mkapimwe sio jambo la kawaida
 
Muda wa chini kabisa wa kuanza wasiwasi n mwaka mmoja sio miezi Saba.

Kama unaharaka, mchukue mke wako mwende hospita
Wewe kapime sperm
Mama na yeye anapige ultrasound na apime hormones kama siku zake hazina mzunguko wa kueleweka...
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Check with doctors please.. Miezi saba sio haba unless kama kuna mwenye msongo wa mawazo...
 
Back
Top Bottom