Msaada wanaJF: Natafuta Timing Belt! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wanaJF: Natafuta Timing Belt!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Buchanan, Nov 10, 2009.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Nov 10, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  WanaJF nimetafuta sana, bila mafanikio, kwenye maduka ya Spea Dar, Timing Belt kwa ajili ya Toyota Corona Premio D4, 4S Engine, yenye meno 149. Kama kuna mtu anajua duka Dar au popote Tanzania naomba anijulishe, pls!
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  jaribu kwenye maduka ya used pale ilala, maeneo ya karume
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  oooooohh yeah

  warning;usiingie pale na expensive car ndugu utaumia...hata kama ni yako ama ya washikaji ...wale jamaa wanatoa bei kutokana NA utakavyojipeleka
  pole sana all the best pale utokosa
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nakushauri usinunue timing belt iliyotumika, kwa vile huwezi kujua kuwa imetumika kwa muda gani. Inaweza kukukatikia wkati wowote!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  ndugu naunga mkono huyu bwana..usi tena narudia usithubutu...timing belt kila baada ya km 100,000 zinatakiwa kubadilishwa sasa yawezekana timing belt iliopo imetumika km 99,900 ukifikisha wewe km 100,000 ndugu madhara yake ni makubwa...ushauri wa bure ingia mfukoni nunua mpya
   
 6. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #6
  Nov 11, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Nashukuru kwa ushauri. Kwa hiyo nifanyeje hapa ndugu ili nisinunue kwa bei kubwa? Halafu wenye maduka ukiwaambia kuhusu 4S ENGINE wanakupatia Timing Belt yenye meno 163. Kwa hiyo inaonekana ENGINE za namna hiyo zinahitaji Timing Belt ya meno 163 na sio 149 kama ilivyo kwenye hii gari! This is strange!
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Nov 11, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sure, nashukuru kwa ushauri! Naomba kama kuna maduka ya genuine spare parts ambako inapatikana Timing Belt ya namna hiyo unioneshe (mara nyingi nimepata ya meno 163 ambayo wao wanadai ni ya 4S ENGINE badala ya meno 149-hapa tatizo ni idadi ya meno)!
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Nov 11, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kabisa, ila bahati mbaya imepitiliza km 100,000!
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Nenda A to Z pale livingstone street..karibu na bakhresa ya kariakoo..at least wanaaminika with 'jiniani' spares
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Nov 11, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Thanx, nitajaribu!
   
Loading...