Huyo ni mdudu jaribu kuwasha comp yako huku ukibonyeza F8 pindi itakapoonyesha BIOS nikiwa na maana komputa unapowasha inaanza kuandika DELL halafu chini yake inakupa option za F9 na kadhalika. Hapo ndipo unatakiwa uwahi na kubonyeza F8Then choose safe modeHalafu ikikubali kuwaka kwa maandishi makubwaNenda Start-Accesories-system tools-system restore- Then choose restore point ambayo ni tarehe kabla ya matatizo hayo.Then comp itajirestore na kuwa kama kawaida.AlternativeIkikataa fanya kuboot na CD ya windows halafu nenda repair for both windows XP/Vista/7Windows 7/vista repair utaenda kwenye windows recovery tools na kuchagua startup repair ili ifanye repair automatikali.AlternativeIkishindikana na hiyo.Basi boot tena computer yako na cd ya windows halafu kwenye partion ya windows usiformat kama unavitu vyako vya muhimu ww ingiza windows kwenye same partition iliyokua na windows halafu ile windows ya Zamani itatengeneza folder ambalo linaitwa windows Old na litakuwa na files zako zote zilizokuwa kwenye drive C yako kama Desktop,Docs etcFull stop, If u dont mind Format.Give me feedback.