msaada wanajamii forum

Jamani huyo mdogo wako anashindwa kufatilia halafu akakujulisha?
Au na yeye upo nae china?
Wasalimie wachina wote hapo.
 
Salamu kwa ndugu zangu wote kwenye jamii forum,
mi naitwa Ombeni Nanyaro nipo china ninaomba msaada wenu ndugu zangu nataka kupata data za chuo cha usimamizi wa mahakama lushoto, nina mdogo wangu nataka nimpeleke pale sasa sijui ada yake ni kiasi gani kwa certificate pia namna ya kujiunga nacho utaratibu unakuwaje.
Natanguliza shukrani.
nitaomba kwa mtu yeyote atakae kuwa tayari basi anitumie email custbe@hotmail.com.
pia kama utahitaji msaada wa kujua issue yeyote kuhusu china basi usisite tuwasiliane pia.
asanteni.

Jaribu hii website: Institute of Judicial Administration-Lushoto/10
 
Salamu kwa ndugu zangu wote kwenye jamii forum,
mi naitwa Ombeni Nanyaro nipo china ninaomba msaada wenu ndugu zangu nataka kupata data za chuo cha usimamizi wa mahakama lushoto, nina mdogo wangu nataka nimpeleke pale sasa sijui ada yake ni kiasi gani kwa certificate pia namna ya kujiunga nacho utaratibu unakuwaje.
Natanguliza shukrani.
nitaomba kwa mtu yeyote atakae kuwa tayari basi anitumie email custbe@hotmail.com.
pia kama utahitaji msaada wa kujua issue yeyote kuhusu china basi usisite tuwasiliane pia.
asanteni.

Join Date : Sun Apr 2008
Location : china
Posts : 2
Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0
So far una posts 2 tu tangu ujiunge na JF 2008! You are welcome back!
 
mwambie aende pale, nafasi za certificate zimetoka juzi, bado deadline. tatizo la wadogo zetu hasa wale wasio serious na shule wanatakaa tuwafulie hata chupi maadam sie kaka zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom