miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
una hangover ya nini?
ya maneno ya kizinzi nataka kusafisha kooo
una hangover ya nini?
Acha ulevi
njoo nikusafishe mwaya!ya maneno ya kizinzi nataka kusafisha kooo
njoo nikusafishe mwaya!
Kuna mashindano ya kuweka mabandiko humu
Aaaaah...mwenyeweee, kama nakuona vileee miss chaggabinamu nasikia wanatoa tuzo mwisho wa mwaka
Aaaaah...mwenyeweee, kama nakuona vileee miss chagga
Ni wapi hukuelewa mkuu nikueleweshe
Na wasipokupa tutaandamana....uko top 3.ha ha ha ha nashindana hapa nipate tuzo mwisho wa mwaka .....
Na wasipokupa tutaandamana....uko top 3.