Msaada wana MMU!!

Msaada wana MMU!!

Kila unachokifanya fanya kwa ufanisi, ili uwe bora kwa hicho.....ila sio mambo yetu yaleeeee..hahahaha, miss chagga dah, I really miss ya........

Sawa rafiki mpenzi umepotelea pori gani ?sikupati wala sielewi elewi still waiting urudi
 
Last edited by a moderator:

Mi nipo saaana...wewe ndio naona umeamua kufunga vioo baada ya kupewa zawa ya VEROSA kwenye birthday yako. Hongera sana........
 
Sijafunga vioo naogopa kuharibu naona shemeji yangu kawa mkali
Haya mimi sina usemi, mnitenge tu.....namimi nasema hiviiiiiiiiii "Tusiwatupe ndugu zetu waliombali, tuwaliwaze na kuwafanya wajisikie wapo na sisi"....
 
ndio maana napenda kunywa viroba
 
Aaaaah...mwenyeweee, kama nakuona vileee miss chagga

Kila unachokifanya fanya kwa ufanisi, ili uwe bora kwa hicho.....ila sio mambo yetu yaleeeee..hahahaha, miss chagga dah, I really miss ya........

Sawa rafiki mpenzi umepotelea pori gani ?sikupati wala sielewi elewi still waiting urudi

Mi nipo saaana...wewe ndio naona umeamua kufunga vioo baada ya kupewa zawa ya VEROSA kwenye birthday yako. Hongera sana........

Sijafunga vioo naogopa kuharibu naona shemeji yangu kawa mkali

Haya mimi sina usemi, mnitenge tu.....namimi nasema hiviiiiiiiiii "Tusiwatupe ndugu zetu waliombali, tuwaliwaze na kuwafanya wajisikie wapo na sisi"....

Aaaah Jiheshimuni basi jamani

Si muende PM. :banghead::banghead:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom