Msaada wana jf

Gloryb

Member
Nov 16, 2013
21
12
jamani ndugu zangu wapendwa kwa wanaokaa Dar. natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Tegeta/Namanga/Basihaya.
ndo kwanza nataka kuanza maisha ya kupanga nilikuwa naishi kwa wazazi so naitaji chumba kimija tu.
ASANTENI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom