Wanaume wa bongo Wengi vicheche, hawana starehe zingine zaidi ya wanawake. Madam Nyoa au suka! Ushauri wangu chukua hatua fight for your marriage ukishindwa chapa mwendo Kabila haja kumurder!
Wanawake wanapenda tamthiliatuwekee ushahidi wako hapa kuhusu kauli hyo.. je umewahi kufanya uchunguzi? je na wanawake starehe yao ni nini?
Njoo napa ustawi inkupe data bro! Wanawake Wengi wakishazaa wanaangalia ustarabu wa wa toto wao, piga picha mama yako alivyokuwa keen na wewe !Ytuwekee ushahidi wako hapa kuhusu kauli hyo.. je umewahi kufanya uchunguzi? je na wanawake starehe yao ni nini?
Wanawake wanapenda tamthilia
Njoo napa ustawi inkupe data bro! Wanawake Wengi wakishazaa wanaangalia ustarabu wa wa toto wao, piga picha mama yako alivyokuwa keen na wewe !Y
tuwekee ushahidi wako hapa kuhusu kauli hyo.. je umewahi kufanya uchunguzi? je na wanawake starehe yao ni nini?
Very few, Kesi nyingi ni wanaume wamepata wanawake wrap ya wametelekeza wake na wa toto, ukikuta wanaume wanao telekezwa Wengi ni kwa ukahaba.mwanamke hamkimbii mime Kama anajiheshmu hatua Kama Hana peas labd Kesi chache sanaustawi upi? kwani wanaume wao hawafikirii kuhusu watoto? uchunguzi wako umeufanya wapi? lini?