msaada wana jf

msaada wana jf

musungu

Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
29
Reaction score
4
Nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka saba, lakini naona nataka kuyashindwa haya maisha ya ndoa, maana nimekuta msg kwenye simu ya mume wangu ameandikiwa na dada mmoja nanukuu'' mpenzi samahani kwa kukucheleweshea...'' Nilipomuuliza mume wangu akaniambia eti ofisini kwao kuna huyo mdada anamwita kila mtu mpenzi. Pia hata tendo la ndoa uwa anatoa mara mkama mara tatu kwa mwezi.
 
Mambo ya kuwachanisha watu mimi simo :yo:
 
Yaani umri wa miaka 7 ya ndoa yako bado tu hujajua tu maisha halisi ya ndoa? Sasa kuna nini hapo cha kukushinda? Labda kama kuna lingine lakini kwa hili mi sioni ki2 hapo.
 
mpenzi kila mtu ofisini????!!!!!ukitaka uishi kwa amani na kuepuka magonjwa ya moyo, presha n.k, jiridhishe kuwa mme wako hakusaliti.
 
pole hebu jitafakari wewe mwenyewe labda kuna vitu anavikosa kwako ndio maana anatoka nje ujaribu kujirekebisha
 
Wanaume wa bongo Wengi vicheche, hawana starehe zingine zaidi ya wanawake. Madam Nyoa au suka! Ushauri wangu chukua hatua fight for your marriage ukishindwa chapa mwendo Kabila haja kumurder!
 
Hivi 7 inagawanyika kwa 2? Mtambuzi yuko wapi?

Bidada, hali yako unaijua wewe mwenyewe. Ongea na mumeo vizuri na usiache kusali. Ngoja nukuitie mtaalamu wa mambo hayo. Mdogo wangu gfsonwin uko wapi?

ina maana unataka ku apply utabiri wa Mtambuzi? hapo kwenye Bold?
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wa bongo Wengi vicheche, hawana starehe zingine zaidi ya wanawake. Madam Nyoa au suka! Ushauri wangu chukua hatua fight for your marriage ukishindwa chapa mwendo Kabila haja kumurder!

tuwekee ushahidi wako hapa kuhusu kauli hyo.. je umewahi kufanya uchunguzi? je na wanawake starehe yao ni nini?
 
tuwekee ushahidi wako hapa kuhusu kauli hyo.. je umewahi kufanya uchunguzi? je na wanawake starehe yao ni nini?
Njoo napa ustawi inkupe data bro! Wanawake Wengi wakishazaa wanaangalia ustarabu wa wa toto wao, piga picha mama yako alivyokuwa keen na wewe !Y
 
Raha mtu unajipa mwenyewe ulishika simu ya nini? Wahenga walisema " usilolijua ni kama usiku wa giza au halitakusumbua" acha ujinga uache ndoa kwa ajili ya nungayembe? Ataeenda wee lakini usiku anarudi kwako. Pambana dada
 
Njoo napa ustawi inkupe data bro! Wanawake Wengi wakishazaa wanaangalia ustarabu wa wa toto wao, piga picha mama yako alivyokuwa keen na wewe !Y

ustawi upi? kwani wanaume wao hawafikirii kuhusu watoto? uchunguzi wako umeufanya wapi? lini?
 
ustawi upi? kwani wanaume wao hawafikirii kuhusu watoto? uchunguzi wako umeufanya wapi? lini?
Very few, Kesi nyingi ni wanaume wamepata wanawake wrap ya wametelekeza wake na wa toto, ukikuta wanaume wanao telekezwa Wengi ni kwa ukahaba.mwanamke hamkimbii mime Kama anajiheshmu hatua Kama Hana peas labd Kesi chache sana
 
kamnunulie condom umuekee kwenye shati lake au ndani ya suruali ili awe na kinga tena umuambie hakikisha unatumia kwa uangalifu usimuache kupiga peku peku angalia na afya yako pia huo ni ushauri tu
 
Back
Top Bottom