Msaada wana JF

Msaada wana JF

Status
Not open for further replies.

Nyuki baby

Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
85
Reaction score
8
Nataka kubadili jina JF kwani manzi wangu kajiunga nimegundua jana baada ya kupost habari nae kunijibu kwamba ashajua nami nimo! Na sababu ya kutaka kubadili ni kwamba kuna time zingine uwa na post matatizo yangu ambayo yeye apaswi kujua! nisaidieni jamanh!
 
Duh m PM mod yeyote akusaidie
Fang saidia huyu mtu
 
Last edited by a moderator:
Nitumie PM pamoja na ada ya Tsh. 25000 kwa M Pesa namba TANMO00063 Kisha nitakubadilishia jina..
 
Na ameshajua kwamba unataka kubadili ID............Mimi nilikuwa jirani yako miaka 2 iliyopita so sitakubali shemeji yangu umfanzie flirting naona!!!
 
Mtumie Private Message Member anayeitwa Invisible ..... mwambie unataka kubadilisha User Name yako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom