Msaada wana JF

Jamani mimi nashindwa kuelewa, nimejiunga Jf lakini bado nazuiliwa kutoa maoni kwenye nyuzi,na ninapojaribu naletewa maneno haya,
Your account is correntry pending admin approval tatizo ni nini wakuu? msaada tafadhali.
Sheeeeder.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom