Msaada wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wana jf

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzambia, Mar 14, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mi nimekuwa nikijaribu bila mafanikio kuaccess au kusoma posts zilizopo kwenye jukwaa la mambo ya kikubwa, naombeni mnisaidie maana kila nikifungua naambiwa huna access/permission
   
 2. bmx

  bmx Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha mkuu unapenda mambo ya kkubwa ehee,, c mbaya wanaojua 2saidieni 2po wengi,,
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mwandikie invisible PM, atakufungulia mlango. ila hakikisha utakayo yaona huko yatabaki huko huko
   
 4. m

  mzambia JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nshamwandikia mbona
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  na ushachangia jf? Ukichangia tu unapata access moja kwa moja.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Atakujibu kuwa na subira, lakini lile jukwaa mmmhh!!! sijui....
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Omba mods wakuruhusu!
   
 8. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #8
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna nini huko? Mbona kila mtu anasita tu? Mnigusie kidogo nisiingie kichwakichwa nikahadhirika kisaikolojia!
   
Loading...