Tablet yangu inatabia ya kuji format yenyewe mara ya pili inanitokea, inaniuma sana data zangu kufutika na sizipati tena. Kwa anayejuwa kama Kuna program maalumu itakayoweza kunisaidi kurejesha data zangu itakapo ji format tena anisaidia namna ya kuipata.
Natanguliza shukran zenu wakubwa
Sasa hivi AKILI zetu zimekaa mno KIUCHAGUZI Mkuu hivyo tuvumiliane kwanza na kwa muda huu tafuta Simu tu ya bei ndogo na tukishamaliza hili wingu ZITO la uchaguzi mafundi tutakuja KUKUTENGENEZEA Simu yako.
Popoma ndo nn nifah