M Majanki Member Joined Apr 9, 2014 Posts 34 Reaction score 12 Dec 5, 2014 #1 Kwa anaye fahamu jinsi ya kuanzisha acount ya Gmail anisaidie natanguliza asante.
Nyanya mbichi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 3,716 Reaction score 2,220 Dec 6, 2014 #2 nenda cafe mwambie mwenye cafe akusaidie kufungua a/c ya gmail.over
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,706 Reaction score 22,587 Dec 6, 2014 #3 Majanki said: Kwa anaye fahamu jinsi ya kuanzisha acount ya Gmail anisaidie natanguliza asante. Click to expand... Ingiza Taarifa zako kwenye hii link>>> Create your Google Account <<<
Majanki said: Kwa anaye fahamu jinsi ya kuanzisha acount ya Gmail anisaidie natanguliza asante. Click to expand... Ingiza Taarifa zako kwenye hii link>>> Create your Google Account <<<
Shy land JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 6,245 Reaction score 2,856 Dec 6, 2014 #4 Majanki said: Kwa anaye fahamu jinsi ya kuanzisha acount ya Gmail anisaidie natanguliza asante. Click to expand... Na wewe umesoma chuo?? hujui hata kufungua akauti ya gmail, vp? ukiambiwa email kutoka yahoo utafanyaje??
Majanki said: Kwa anaye fahamu jinsi ya kuanzisha acount ya Gmail anisaidie natanguliza asante. Click to expand... Na wewe umesoma chuo?? hujui hata kufungua akauti ya gmail, vp? ukiambiwa email kutoka yahoo utafanyaje??
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Dec 6, 2014 #5 Eeh. Tembea ujionee. Humu jf unaingiaje sasa?
Shy land JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 6,245 Reaction score 2,856 Dec 6, 2014 #6 King'asti said: Eeh. Tembea ujionee. Humu jf unaingiaje sasa? Click to expand... Swali zuri sana!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,814 Reaction score 110,068 Dec 6, 2014 #7 King'asti said: Eeh. Tembea ujionee. Humu jf unaingiaje sasa? Click to expand... Labda alifunguliwa na mdada wa cafe....teh teh!!!
King'asti said: Eeh. Tembea ujionee. Humu jf unaingiaje sasa? Click to expand... Labda alifunguliwa na mdada wa cafe....teh teh!!!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Dec 7, 2014 #8 Hahaha. I can imagine. Kuna mtu alipewa iPhone na akawa haitumii wiki nzima. Eti bado anasoma manual. Nilicheka kumoyo watu8 said: Labda alifunguliwa na mdada wa cafe....teh teh!!! Click to expand...
Hahaha. I can imagine. Kuna mtu alipewa iPhone na akawa haitumii wiki nzima. Eti bado anasoma manual. Nilicheka kumoyo watu8 said: Labda alifunguliwa na mdada wa cafe....teh teh!!! Click to expand...
Said Mshana Senior Member Joined Jul 10, 2016 Posts 105 Reaction score 152 Jul 11, 2016 #9 jamani msaidieni mwenzenu