Msaada wana JF-Great Thinkers!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wana JF-Great Thinkers!!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by YETOOO, Oct 4, 2012.

 1. YETOOO

  YETOOO Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba sana mwenye kujua website ya Tanzania International Petroleum Reserves Ltd (TIPER) anipatie kuna taarifa muhimu sana kwangu nahitaji kusoma kwenye hiyo website yao.Natanguliza shukrani za dhati.
   
 2. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  umeishaenda google??jaribu kugoogle kwanza ndio uombe msaada.
   
 3. YETOOO

  YETOOO Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu ukiona hadi naomba msaada ujue nimeshaenda gugo na bado sijapata la maana,kama waweza nipatia hiyo website naomba msaada tena kwa mara ya pili.thx

   
Loading...