Msaada wana JF: Country Code

Msaada wana JF: Country Code

kichenchele

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Posts
539
Reaction score
177
Habari za asubuhi wana JF, samahani naombeni mwenye kufahamu code hii ni ya nch gani, +161....... nimejeribu kutafuta ktk google nimechemka, kazi njema
 
Habari za asubuhi wana JF, samahani naombeni mwenye kufahamu code hii ni ya nch gani, +161....... nimejeribu kutafuta ktk google nimechemka, kazi njema
Angalia HAPA kama ukikosa basi ujue aidha umeinakili vibaya au mtumiaji alitumia calling card!

NB:
Wakati mwingine namba zinakuja zikiwa na tarakimu chache kiasi ya kubabaisha haswa simu zinazopigwa kutokea India.
 
Back
Top Bottom