Msaada wana jamii

Msaada wana jamii

Saidss2

Senior Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
104
Reaction score
49
Mm Ni Mhitimu Kidato Cha 6..Nimeapply Chuo Na Nimeshaprint Tyr Ila nikifungua Account Yng Naletewa Ujumbe Huo Kama Unavyoonekana Kwenye Picha.Je Ndivyo Inatakuwa Kuwa hivyo Au hapo bado Sijaapply???Msaada Ndugu
1470498459342.jpg
 
Hapo tyr kaa subiri selection mkuu
Naomba nikuulize pls nakumbuka huu ujumbe unakuja baada ya kumaliza kujaza vipengele vyote vya mwanzo ukijumuisha namba zako za mitihan kabla ya kuselect program kwaio nikishaselect program naprint ndo unakuja tena ujumbe huo wa congratulations ndo nakuwa nishamaliza?
 
Huo ujumbe unakuja kwa kila mtu, hata mimi nimefanya mwaka huu na ndivyo ilivyo. Sasa wewe kama umeshajaza kozi 5 au 3, subiri hatua inayofata
 
Naomba nikuulize pls nakumbuka huu ujumbe unakuja baada ya kumaliza kujaza vipengele vyote vya mwanzo ukijumuisha namba zako za mitihan kabla ya kuselect program kwaio nikishaselect program naprint ndo unakuja tena ujumbe huo wa congratulations ndo nakuwa nishamaliza?
Kuprint sio lazma its optionally just for your reference...ukishamalzA kuselect programs waachie wakubwa wafanye yao...
 
Naombeni mnisaidie wakuu kwa hili mimi nimechagua vyuo vitatu bachelor of arts with education na vyuo hivyo ni UDSM,DUCE na MUCE na nilipata division two ya 12 je katika hivyo vyuo vitatu naweza kutochaguliwa niongezee vifike vinne au vitano?
 
Chagua vyote vitano rafiki kuselect hakuna malipo huezi kujua ushindan utakuja vp licha ya kuwa una two wengine wana one
 
Naombeni mnisaidie wakuu kwa hili mimi nimechagua vyuo vitatu bachelor of arts with education na vyuo hivyo ni UDSM,DUCE na MUCE na nilipata division two ya 12 je katika hivyo vyuo vitatu naweza kutochaguliwa niongezee vifike vinne au vitano?
Ni vizur ukachagua vyuo vi5 mkuu, maana vyuo ulivyochagua wewe vina competition kubwa sana
 
Naombeni mnisaidie wakuu kwa hili mimi nimechagua vyuo vitatu bachelor of arts with education na vyuo hivyo ni UDSM,DUCE na MUCE na nilipata division two ya 12 je katika hivyo vyuo vitatu naweza kutochaguliwa niongezee vifike vinne au vitano?
Chuo kikuu lazima upate, kama unapenda hivyo vi3 kaa subr na anza kujiandaaa
 
Back
Top Bottom