Msaada : Wali wa jiko la gesi

Asante,,tatizo letu hatuna sufuria za kupikia kk majiko ya gesi,,majiko ya gesi tunahauriwa tutumie sufuria nzito na zenye mifuniko mizito pia
 
sio lazima maji ya moto hats ya baridi, ukishaweka mchele weka maji ya baridi funika uchemkeee, ukiona maji yanapungua punguza moto kabisaaaaa then funika, ingia jf uchart kwa nusu saa,
Hahahah

Aingie jf kufanyaje???? Hahah
 
Nimezoea kupika wali jiko la mkaa hapo zamani .. Sasa nimeanza kujipikia mwenyewe tatizo Nikipika wali kwa jiko la gesi ukianza kukaukia nikiutoa either utakuwa umeungua au mbichi hauliki.. Nipeni mbinu za timing ya kuuivisha vizuri.
Unatakiwa uwe unapunguza moto unakuwa wa chini sana waiva vizuri Sana'a kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…