Msaada wakuu

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Wakuu nikiagiza ka usafiri ka CIF: price US$3600 je kodi na gharama zingine gari ikisha fika ni kiasi gani??
 
ongeza angalau 65% ya hiyo CIF value to be on safe side. japo mchanganuo wake siuelewi vizuri.
 
Yah!
Ni kweli huenda gharama zikafika 50%-60% zaid ya hiyo cost ya CIF but the big deal hapo ni wapi unaagiza hako kausafiri na cost charge zinapitia wapi na wapi. Ninalazimika kuweka angalizo hilo japo kidogo, maana kuna watu wengi sana wameliwa au kupata hasara kubwa kwa kuagiza through online na wajanja wakaback charge twice as much. ijapokuwa sina maana kuwa online ni mbaya, la hasha. But inahitaji umakini sana. Hivyo sehemu, njia husika na argent unayetumia huenda ikazidisha ama ika cut cost down. Kumbuka kunavitu vinaitwa Shipment costs, other costs n.k lazima ujue kuwa vitakuwa upande gani? kwako ama kwa argent. Yaani wewe umlipe agent halafu yeye ayamalize yote juu kwa juu, cost zake itakuwa tofauti sana na ambapo wewe unge-process via other clearance and forwarding deparments. So kuwa muangalifu kidogo katika pande zote before huja toa maamuzi. Au uulize watu waliowahikuagiza hivyo vitu walifanikiwaje.:drum:
 
Wakuu nikiagiza ka usafiri ka CIF: price US$3600 je kodi na gharama zingine gari ikisha fika ni kiasi gani??

Mkuu kuna software ambayo unaweza kuitumia kupata rough estmate za gharama yote gonga HAPA

Ila exchange rate iliyotumika hapo ni 1USD = Tshs 1300. Sasa tumia ya sasa ambayo ni around 1500.

Pia ongeza gharama za clearing agent around Tshs 150,000 na usajili
 
Back
Top Bottom