Krama
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 293
- 80
Kwana nitoe shukran kwa wote watakaochangia katika uzi huu... mm natumia samsung galaxy tab (GT P1000) Na ina OS ya Android 2.2 froyo... swali langu ni kwamba kuna vitu navikosa kwa kutumia vision ya zamani ya android??? Na pia ningeomba msaada na ushauri jinsi ya kuupgrade kwenda android 4.2.2 jellybean.. natanguliza shukrani wakuu..
NAWASILISHA
NAWASILISHA