msaada wakuu.

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
223
225
Habari zenu wanajf. Mi sina utaalam sana kwenye masuala ya computer, nimepakua bittorrent na nikafanya installation ila sasa jinsi ya kuanza kutumia ndo nimeshindwa kabisa. nataka nipakue movies, ujanja sina. Naomba msaada wenu.
 

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
223
225
Hapo inabidi ucheze na torrent sites kama kickasstorrents na nyingine, halafu utumie magnetic links

nimetumia hiyo site ya mfano nikakuta movie ninayoitaka, nikaclick on it, nikaopt download, ikaenda kwenye bittorrent. sasa sijui downloading inaendelea au la! ila naona tuneno tumefifia tumeandikwa finding peers na kuna bar kama zinazoonekanaga kwenye simu ila nazo zimefifia. Ninachojiuliza nikwamba umeniambia nitumia magnetic links, hapo ndo nimeachwa sijui ni nini hiyo? Maelezo ya ziada plz!, maelezo yako yanaanza kunitoa ushambaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom