Msaada Wakuu!

Msaada Wakuu!

Bei Rahisi Electronics

Senior Member
Joined
Apr 4, 2025
Posts
197
Reaction score
583
Mdogo wangu wa kike kuniuliza ilo swali sitaki nionekane kilaza. "A former East African and current east African community is like a new wine in old bottle, discuss"
 
Nadhani ni yale mambo yaliyopitwa na wakati au mambo yanayoirudisha nyuma EAC
 
Point ni zile zile....

-Unclear goals.
-Lack of unity among member states.
-Absence of E.A.C official language.
-New colonialism/ puppet leaders.
-Difference currency.
-Low impact of an accountability force.
-Unsettled conflicts among member states.

😂😂😂
Enzi hizo nilikuwa natunga majibu hatari 😂😂😂
 
Point ni zile zile....

-Unclear goals.
-Lack of unity among member states.
-Absence of E.A.C official language.
-New colonialism/ puppet leaders.
-Difference currency.
-Low impact of an accountability force.

😂😂😂
Enzi hizo nilikuwa natunga majibu hatari 😂😂😂
Daah..mkuubado upo kidato
 
Hilo swali anamaanisha kuwa pombe ni ilele Ila chupa tofauti Discuss ufanye mjadala.

Hapa katika kujibu kuna njia tatu

Unaweza kusema yes
Unaweza kusema no
Na unaweza Ku paraphrase .

Kwa level yake huyo dogo mwambie aaanze hivi

I agree with this statement ,

Akimaliza anashuka katika point , point ni zilezile unaangalia changamoto za EAC ambazo zimekuwepo tangia zamani .

Yaani pamoja na kubadili viongozi Ila changamoto ni zile zile.

Mfano

  • lack of common currency
  • political instability
  • Lack of common language


So utaangalia Challenge zinazoikabali EAC tangu iwe formed mpaka sasa .
 
Mwamba kaona bora aonekane kilaza hapa jf lkn si kwa mdogo wake

Nimeipenda hii😂😂
 
Back
Top Bottom