shida ya samsung ukisha root ina trrip knoxx parmanently, kuna fuse nadhani inaungua na inaji zero, so hata uki flash stock firmware bado baadhi ya app kama tigopesa version mpya zitagoma maana zinaangalia knox status, ila njia rahisi kama imerootiwa install magiks
inashauriwa u back up vitu vyako vyote unatopataka ku modify system files maana there is possiblity utatakiwa kufuta kila kitu