Wakuu msaada ku boot two operating system

Baba Rhobi

Senior Member
Nov 4, 2020
140
225
Ndugu members wa jamii forum naombeni msaada, Pc yangu dell inspiron 3521 core i3 3rd generation na 4GB RAM, inazingua ukifungua file manager mwanzoni inafanya kazi fresh, lakin baadae thumbnail zote zinapotea then ina stack then huwezi fanya chochote inajamm, lakin usipofungua This PC app, hakuna tatizo,

Nimejaribu kutumia Xyproler lakini wapi, nimepiga windows na ku update PC bado hamna kitu.

Sasa ndo nikapewa wazo la kuweka OS nyingine nayo ni KUBUNTU 20.1 ili nitumie mbili pamoja na windows 10, je naweza tatua tatizo kwa hivo.

NB: Nimejaribu ku run hardware diagnosis ya hard disk lakini imesoma hamna tatizo.
Msaada wakuu, make PC ndo kila kitu ikifa hapa na zoezi la kula pindi litakua gumu zaidi.

Chief-Mkwawa
ymollel
troublemaker
pirate
 
nkumbison

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,855
2,000

unatumia window gani.?
 
Baba Rhobi

Senior Member
Nov 4, 2020
140
225
Window 10 pro, before ilikuwa 8 ikaleta hlo tatizo nikabadilisha nimekaa miezi kama sita limerudi tena
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
16,872
2,000
Weka basi hata picha jinsi tatizo linavyoonekana tujue pakuanzia
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
16,872
2,000
Window 10 pro, before ilikuwa 8 ikaleta hlo tatizo nikabadilisha nimekaa miezi kama sita limerudi tena
Ku install dual OS sidhani kama ni suluhu kwasababu kama hiyo UBUNTU iligoma ku run properly ikiwa single sidhani kama zikiwa mbili itakubali
 
Baba Rhobi

Senior Member
Nov 4, 2020
140
225
Ku install dual OS sidhani kama ni suluhu kwasababu kama hiyo UBUNTU iligoma ku run properly ikiwa single sidhani kama zikiwa mbili itakubali
Nia ya kuweka duo ni kwamba windows nitumie kwa ajili ya program mbali mbali, then kubuntu iwe kwa ajili ya media playing na kusomea notes na kuhifadhi document mbalimbali
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,390
2,000
Hauwezi kutatua tatizo la Windows OS kwa ku-install Ubuntu, isipokuwa utakuwa umepata option nyingine ya kutumia pale ambapo Windows itakuwa imestuck. Nakusauri ufanye backup ya files zako zote zilizoko kwenye Windows halafu u-format disk na kufanya fresh install. Ubuntu ni OS inayo-operate kwenye UNIX, japo pia ina GUI ambayo inafanana kiasi na ya windows.
 
Baba Rhobi

Senior Member
Nov 4, 2020
140
225
Picha
DSC_0025.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom