Msaada wakuu

Umuzukuru

JF-Expert Member
May 30, 2019
609
540
Kwa wapenzi wa games kwa kutumia Simu(Android)
Sasa katika kudownload apk baadhi ya games unakutana na Kitu Kama hiki
(Game size:95mb+1042mb)
Je hakuna namna ya kufanya I'll baada ya kudownload hizo 95mb uweze kucheza game bila hizo 1042mb?????
Nawasilisha
 
Huwezi mkuu, hio 95mb inakuwa ni Apk na hio 1024mb zinakuwa ni data.

Kwenye data ndio kunakuwa na picha, sauti, video, graphics mbalimbali etc. Sema kuna ambao wanaweza kuzipunguza hizo data ikawa kama 95mb apk na data 300mb ama 500mb wanafanya hivyo kwa kutoa texture za resolution kubwa, kutoa sauti za lugha zisizo kingereza etc.
 
Hilo faili kubwa ni data and of course ndo gemu lenyewe so unafaa ulionganishe na hiyo apk ili ucheze gemu....Uki-instal apk pekee bila kuhusisha data tegemea hii statement "This app needs additional contents from playstore" na ndoto zako zitaishia hapo..
 
Shukran🙏🙏🙏
 
Shukran pia
 
Back
Top Bottom