donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Habari wakuu,
Kiukweli kutokana na mambo ya majukumu ya kazi etc kidogo nimekua outdated na haya mambo ya out dates etc. kama nahitaji ugimbi basi natafuta tu baa iliyokaa kiustaraab nashuka zangu eagle au balimi au kitoko basi fresh. Anyways kwa wale wakazo wa dsm, whats the best place to take a person out for lunch? Back in days hadi breakpoint posta, piccolo, maryland, rose garden palikua na heshima zake lakini kwa sasa nipo kama danny glover kwenye lethal weapon na msemo wake “i’m too old for this shit”