Msaada wakuu..!!

Kama ni wale wadada wa Joly Club na mitaa ya namna hiyo itabidi aachie dau lake na labda amlipe fidia ili amwache akatafute riziki. Kwa mwendo wa namna hiyo changu lazime apate hasara ya mwaka!!



Huko ilibidi niache kwenda kwani walishanikariri na wakaambiana ikawa wakiniona tu hata iweje hawakubali,na imeshanitokea several times naambiwa chukua hela yako uondoke mtu gani humalizi,na kumbuka tu nimesema ile ni first round,zinazofuata sasa huwa ni balaa...........
 



Hata wewe pia huniamini?Mbona ni hali inayotokea sana tu....
 

mh! nilidhani kufanya mapenzi - ni tofauti na ndondi au mieleka - michubuko na maumivu tena??????
 



Umenipa ushauri mzuri sana mama lakini hapo mwisho wakikusikia wenyewe mi simoooooo..............
 
Mara umeshaahirisha kumpeleka lab..

Lab lazima madam T, nilikuwa najaribu kumchimba babu nipate hekima na uzoevu zaidi juu ya hili tatizo. Ili hata nitakopotoa tiba nizidishe ufundi na maujuzi zaidi!!! Na wewe unataka kuja!!!
 
Lab lazima madam T, nilikuwa najaribu kumchimba babu nipate hekima na uzoevu zaidi juu ya hili tatizo. Ili hata nitakopotoa tiba nizidishe ufundi na maujuzi zaidi!!! Na wewe unataka kuja!!!

Mpleleke bwana, LD nashukuru sana kwa mwaliko, nitakuja nichukue huo ujuzi ili nikikutana na wengine wenye tatizo kama hilo niwasaidie nikupunguzie msongamano wa madenti
 
Mpleleke bwana, LD nashukuru sana kwa mwaliko, nitakuja nichukue huo ujuzi ili nikikutana na wengine wenye tatizo kama hilo niwasaidie nikupunguzie msongamano wa madenti




:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Piga punyeto mara tatu kwa siku kwa miezi mitatu mfululizo! Then utarudi na swali jingine!
 


Kama umeliona hilo basi uende kwa amani...Shida zako zimeisha!
 
ha ha haaaaa....
paka mweusi..mimi hii hali imewahi kunikuta mara kadhaa pia,tena ni zaidi ya saa 1 na wakati mwingine kama
ni usiku nalazimika kulala nikiwa sijakojoa na mwenzangu amechoka..mpaka asubuhi labda ndiyo namaliza hiyo round moja.
uchunguzi wangu umenipa sababu kuu tatu:
1. Mara nyingi inakuwa ni mwanamke ambaye ni nimemzoea sana,kwa ivo najua hatanisumbua so akili inakuwa imetulia haina rabsha.
2. Imenikuta zaidi pia wakati ambapo nimekunywa pombe kwa ivo nakuwa nakula mzigo huku akili ikiwa mbali,labda ofisini huko natengeneza report au tunakoromeana na bosi.
3. Mara nyingi pia inashamirishwa na ugoigoi wa huyo mwanamke unayelala naye..mimi nataka nikiri kuwa ukikutana na mwanamke mtundu kiukweli,anayezungumza dirty enough,ana mshawasha wa kutosha, ana mitindo huru n.k..tatizo litakuwa kushney.

Ni haya tu, ila pole sana
ikishindikana waombe wakuchue baada ya kila game.
wasalaam.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…