Hapana CPU, sikutimui kivile, najaribu kuonesha position zenu tu.
Kwamba wewe uijue position yako, ili mbele ya safari usinabadilikie lol!
Afadhali manake Naona ameshaanza bifu la kichini chini, anaweza akanichunia kabisa huyu!!
Hata nisimuulize kitu!!
At least hiyo huwa inasaidia sana lakini tatizo huwa naye analalamika kuwa anakuwa hainjoi kwa kuwa anakuwa na kazi ya kuzipekecha tu........Na mimi kama yeye hajaridhika huwa najiona kama nimepungukiwa katika uanaume wangu.........
La la la la la la la la la la la
Wewe ni mke wa PM nini?
Sipiyuuuuuu acha uchokozi!!!
Usinigombanishe na watu hapa lol!!
PM ni mwanafunzi wangu, nilimfundisha nasary school miaka ile!!
Kwa sababu ya utii wake na juhudi zake katika masoma, nimemweka moyoni, namuombea,
halafu nampenda tu, yani namchukulia kama first born wangu.
Acha kabisa usije mnyima riziki yake hapa MMU!!!
Kwa wastani katikati ya wiki yaani j3 mpaka ijumaa huwa ni 3times na kila tunapokutana huwa atleast 2 rounds, hivyo fanya 3 times 3.Na inapokuwa weekend naweza kwenda hata 4 rounds kwa usiku mmoja.
Speed lazima iwe very high na kama nikjifanya kwenda na low speed basi naweza kukesha na watoto wasitoke........
Hiyo sasa ni michezo ya kitoto.....Watu wazima huwa hatuna vitabu vya kumbukumbu...Ni kushereheka Valentine kwa raha zetu badala ya kujigeuza Wakenya katika mbio za marathon!
Babu hata mii hii nimeistukia mapema tu!!
Lakini mjukuu wako msaidie tu, isijekuwa ni kweli babu anamaanisha babu!!
Aaaaah wapi, mimi na wewe mpaka unikubalie tu
huyo si denti wako, mimi nataka uwe denti wangu
Huyu anamtania babu yake....Kwa jinsi anavyoeleza hayo ni matamanio tu. Angekuwa anafikisha hata 30min kama wengine tulivyozoea basi asingeweza kuongelea mambo round 4 kwa siku.
Hakuna anatomy inayoweza kuhimili labda kama baada ya round ya kwanza anahamia kwenye michezo ya sabuni. Hakuna mwanamke anaweza kuhimili hayo mambo ya kufua chuma!
CPU mimi ni bibi kizee utanifundisha nini?
Mi nimwanafunzi na mjukuu wa babu ASprin, DC, na Superman!!!
Halafu sitaki kuongeza wanafunzi, nilionao wananitosha!!
Kwa maana ingine kama anamaanisha, inabidi wanawake wamkimbie sio babu!!
Mmmm labda apunguze kula ugali na nyanya chungu babu, yawezekana yeye anakula ugali daily.
Akipunguza hayo manguvu ya round 4 hayatapungua babu.
CPU mimi ni bibi kizee utanifundisha nini?
Mi ni mwanafunzi na mjukuu wa babu ASprin, DC, na Superman!!!
Halafu sitaki kuongeza wanafunzi, nilionao wananitosha!!
Kwa wastani katikati ya wiki yaani j3 mpaka ijumaa huwa ni 3times na kila tunapokutana huwa atleast 2 rounds, hivyo fanya 3 times 3.Na inapokuwa weekend naweza kwenda hata 4 rounds kwa usiku mmoja.
huyu bwana mara nyingi stori zake ni za kufikirika hazina uhalisia...nyie chunguzeni.:twitch: