WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 284
Inawezekana. Kuna kitu kwa kiingereza kinaitwa "HETEROPATERNAL SUPER FECUNDATION" inatokea kama amebeba Fraternal Twins, na wakati wa kugongana aligongana na baba yako na baada ya muda siku hiyo hiyo au kesho yake akagongana na mwanaume mwingine.