Msaada wakuu - uhamiaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wakuu - uhamiaji

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kelvito, Aug 13, 2012.

 1. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nisaidieni wakuu, nina mgeni toka China alikuwa na kibali cha tourist cha miezi 3, Bado hakijaisha but amebakisha kama siku kumi, nataka aendelee kuwepo yaani aongeze mda wa kukaa mwenye kujua process zake nisaidieni kabla mda wake haijaisha.

  natanguliza shukrani zangu!
   
 2. W

  Wajad JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Una uhusiano gani na huyo mchina?
   
 3. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,282
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Arudi home kwao aka apply visa aje upya.
   
 4. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Kumbe si mtalii??
   
 5. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  tourist visa maana yake alikuja kutalii au kutembelea ndugu zake . na hiyo visa inalipiwa dola 50 tu. na inakuwa ni ya siku 90 au miezi 3. kwa kawaida hiyo visa ikiisha huwa haiongezwi kabisa hata iweje . na asije mtu akakudanganya atakulia hela yenu bure. kwa kukusaidia mwambie apande basi au ndege atoke nje ya tanzania let say aende kenya,zambia au nchi yeyote jirani na tanzania akae hata siku moja au mbili then ageuze arudi tena tanzania atapewa tena hiyo tourist visa ya miezi mitatu. kwa kuepusha gharama zaidi mwambie aende nairobi na kurudi kupitia border ya namanga arusha
   
 6. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni rafiki tuu mkuu!
   
 7. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nafikiri sina jinsi zaidi ya kufanya hivyo asante kwa msaada wako!
   
 8. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwanini unasema si mtalii mkuu!?
   
 9. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu nashukuru kwa msaada wako mkuu!
  Ngoja nifanye hivyo tuu!
   
 10. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  karibu tena
   
 11. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Zaidi ya miezi mitatu sio kutalii tena bali ni kuhamia ndugu,huyo ni mhamiaji,maake hata kiswahili keshajua hata kukiongea
   
Loading...