Msaada Wakuu,tecno P5

Msaada Wakuu,tecno P5

kimugina

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,142
Reaction score
577
Naomba msaada wa Mawazo ,Nimenunua simu hiyo baada ya kuichaji masaa 4,nikaitoa na kanza kuitumia,

Kilicho tokea baada ya kama saa moja ikajizima,
Kurudi Dukani nilipo uziwa sijapata msaada wowote,
Naomba ushauri wenu Wakuu humu ndani.

Ukiiwasha inaonesha maandishi ya tecno tu,afu inakua inawaka na kuzima baadae screen inakuwa plein tu,
Niko mkoani wakuu.
 
Irudishe tu. Chukua model nyingine maana hiyo ni matatizo matupu. Kuna rafiki yangu alinunua akapata tatizo kama lako, ikabidi arudishe. Akabadilishiwa na kupewa H5 . Ni bora tu uachane na P5 kabisa uchukie nyingine kama H5.
 
Alie niuzia hana Msaada wowote na simu kakataa Kubadilisha Mkuu,

Nilichogundua haraka haraka naweza fanya kitu Nikapata matatizo zaidi.
 
Tecno, buy at your own risk.........
Muuzaji anakuletea uhuni si zina garantee hizi simu?
Au ulinunua mkononi kwa mtu?
 
Reset kwa kubonyeza sehemu ya kuongeza sauti na sehemu ya kuwasha kwa wakati mmoja, usiachie mpaka uone maandishi ya 'android system recovery' ndo uachie na ubonyeze kitufye cha kuwashia na itajiwasha yenyewe.
 
Peleka tecno opposite na msimbazi Polisi kama upo Dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom