Msaada wakuu, tamaa imeniponza

Usiwe na wasiwasi kaka dawa za malaria zina negative impact kwenye damu na zina athiri pia production ya testosterone homoni. Hivyo dawa hiyo ikiisha nguvu mwilini utakuwa poa wala usiwe na wasiwasi kaka.
 
Minatamani abaki hivyo hivyo kenge huyu
 
Kweli umepatwa pole.
Ila ndo ukome na uwe na adabu kwa mkeo.
Hadi nduguye unamtaka.
 

Maliza dozi acha kuwaza ujinga. Halafu nahisi malaria yako imekula testicles zote subiri tu ukipanda Mabasi ya Mwendokasi kuna hatari mtikisiko ukayadondosha.
 
Safi sana na isisimame Ili akome ,,, hawa ndio wanaume wanaotutia aibu kwa wadogo zetu kwa sababu ya umalaya wew siulisema ujana basi ukaamua kuambatana na mkeo leo kwa shem unataka nin wew uko na roho ya majini Mahaba nataman ungemlala mbaki hivo hivo mkiwa mmelalana mkeo aje akukute hivo Ili ajue ana mume wa aina gani
 
Hata mm nishawahi kukutwa na huo mkasa broo lakini baada ya siku tatu mashine ikaamka
 
Teh, pale mbinu za ibilisi zinapokwama.
Mungu endelea kujidhihirisha kwa watu wako. Muheshimu mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…