Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,846
Wasalam
Wakuu naombeni msaada najua kuna wataalamu humu maana mimi nimehangaika weeeh mpaka YouTube mpaka sasa nimekula tutorial kama 3 ila wapi sijatoboa
Screen nikiwasha inaanza kama kawaida ita leta hp pale na notification zingine za kawaida..
Inapofika state ya ku start inaleta orange screen namna hiyo hapo chini.
Mashine mpya haina hata miezi..
Je nirudishe au naweza solve hili suala bila kurudisha..?

Screen inakua hvo