Msaada wakuu,Nimerogwa na mpenzi

Kwa hiyo kesi ya mtoa mada haitibiki hospitali, yeye anapiga mashine kwa mpenzi wake, lakini akienda kwa side chick kitu hakisimami

Hayo ni mazingira mawili tofauti, na yana njia mbili tofauti ya kudeal nayo
Ndo nikasema huoni kama ni issue ya kiakili na kihisia
 
Gentleman,
umejiloga mwenyewe kisaikolojia kwa kukubali kua mtumwa wa kingono kwa huyo mpenzi feki ambae amekutisha na kukuingiza kwenye ushirikina kindezi sana.

achana nae na mapenzi yake feki ya kipepo
 
Kama umelogwa na hujafa shukuru Mungu. Kuna mwenzako kafa kwa kutiliwa dawa na mke wake.Wanawake wamekuwa walogi sana kulinda ndoa/penzi lao hasa kwa mwanaume mwenye uwezo mzuri kiuchumi. Ingekuwa huna uwezo kiuchumi huyo mwanamke asingehangaika kukuloga, sanasana angekuacha upambane mwenyewe na hali yako ya ukapuku
 
Ushaur wang mkuu nenda kanisan tafut mchungaji akuombee,maana umefungwa na vifungo vya giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…