Msaada wakuu: Nimepostpone baada ya kukosa mkopo

Msaada wakuu: Nimepostpone baada ya kukosa mkopo

SAMBALI

Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
9
Reaction score
0
Nimeamua kupostpone masomo baada ya kukosa mkopo nilikua nikisoma NIT bachelor degree in information technology.

Niko tayari kufanya kazi yoyote mkoani Morogoro. Hivyo nahitaji msaada wenu wakuu maana maisha ni magumu sana.

Kwa anae hitàji anaweza nipata kwa contact no.
0678058876
Nawasilisha kwenu wakuu.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom