Msaada Wakuu, Ni Wapi Nitapata Mercury!!!

Msaada Wakuu, Ni Wapi Nitapata Mercury!!!

hayo maji yanalindwa na majoka makubwa ni bora ukalime maana cjawahi ckia mtu ambaye amefanikiwa.

hahahaha, nyoka gani tena aisee hakuna nyoka wala nge, mercury inauzwa kibao tu we sema unataka kiasi gani, inatumika kwenye migodi kukamatia dhahabu na bei yake ni rahisi tu!
 
utapigwa hela nyingi sana mkuu,kimbia fasta.
Nalog off
 
nenda mzinga morogoro wao ndiyo wanayo na watu wote wanachukuaga huko....
 
Kwa dar nadhani maduka ya vifaa vya maabara ila ukienda huko kanda ya ziwa hasa naeneo ya kuchimba dhahabu inauzwa kwa wingi sana. Kama uko mikoa ya kati unaweza kwa urahisi ukienda nzega,jaribu hayo maeneo.
 
Kwa dar nadhani maduka ya vifaa vya maabara ila ukienda huko kanda ya ziwa hasa naeneo ya kuchimba dhahabu inauzwa kwa wingi sana. Kama uko mikoa ya kati unaweza kwa urahisi ukienda nzega,jaribu hayo maeneo.[/uryQUOTE]
huyo mtaka mercury aende morogoro mzinga jeshini atauziwaa huko watu wote wanaitoa huko
 
nenda kwenye mahospital makubwa utaipata kiulaini kabisa ila 1ltr ni laki moja ya dili hiyo.
 
nenda kwenye mahospital makubwa utaipata kiulaini kabisa ila 1ltr ni laki moja ya dili hiyo.
Habari yako. Ntapata wapi mecyur nnashida nayo. Naomba mawasiliano yako kama unafaham inapopatikana.
 
Back
Top Bottom