Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,194
Last weekend nilikuja moshi kumsalimia bibi angu maeneo ya himo..sasa nikawa nimekwenda pia kumsalimia rafiki angu flan anaekaa ng'ambo kidogo ya mji wa himo,yani ni unavuka daraja flan hivi then ndo unafika huko kwa akina huyo rafiki angu..sasa wakati narudi himo kutoka kumcheck huyu rafiki angu nikaona nipite njia ya short cut ampabo ni unavuka mto tu then unakua ushafika ng'ambo ya pili..ilikua ni jana saa 7 na dakika kadhaa..
Wakati navuka pale mtoni kuna miti mingi sana na mikubwa ila na kwa kweli sikuona mtu mwingine pale mtoni anaevuka zaidi yangu..nilkasikia nywele pamoja na mwili vimenisisimka vyote kwa pamoja afu nikasikia harufu ya manukato..nikajaribu kuangalia kulia na kushoto ila sikuona mtu..nikatimua mbio hadi home kwa bibi..mpaka sasa hakuna madhara yaliyojitokeza kwenye mwili wangu ila nilivomueleza bibi amenilaumu kwa kupita njia hiyo ingawa hajaniambia sababu za kutotaka mie kupita njia ile..
Je wakuu hiyo hali ni ya kawaida au ndio kusema nimekutana na mapepo..na je hayatakua yamenidhuru bila mimi kujijua kweli?