polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 4,017
- 7,380
InawezekanaSimu yangu haijawahi kuishika hata kwa sekunde moja mkuu, hiyo hidden app anawezaje kuweka bila kushika simu yangu?
InawezekanaSimu yangu haijawahi kuishika hata kwa sekunde moja mkuu, hiyo hidden app anawezaje kuweka bila kushika simu yangu?
Unaomba msaada wa nini wewe mpuuzi? Acha uzinzi. Mheshimu huyo mwenzi wako.Nimejua coz ameniambia vitu nimechati na mtu.
Sasa uhackiwe una nini zaidi ya huo ujinga ujinga.Unafikiria tu mapenzi mkuu?
hahahaSasa uhackiwe una nini zaidi ya huo ujinga ujinga.
Hakuna kitu kama hiko. Lazima kashika simu yako au Snitch mwingine kashika kwa niaba yakeNaomba msaada wenu wataalamu wa haya mambo. Kuna mtu anapata meseji zangu ninazo wasiliana na watu iwe kwa WhatsApp au kawaida ila hajawahi kushika simu yangu hata kwa sekunde moja.
HV haiwezekan kufunga cm ilio ibiwa mkuuHakuna kitu kama hiko. Lazima kashika simu yako au Snitch mwingine kashika kwa niaba yake
Sasa unatuletea ngonjera za kuwa hacked. Una nini cha mno hadi uwe hacked? Huo ni upuuzi mumewekeana kwenye simu zenu afu unasema your hacked. Do you think hacking is that cheap?Mbona kama una hasira na mimi mkuu shida nini?
Oh asante sana mkuuMkuu pole sanaa!!
Kuna ka app flani kanaitwa ‘
‘Android Phone control’
Haka ni hatari sadly kana kama mb 30..
Kanafanya kazi back ground kakiwa installed kwenye simu yako umekwisha coz ..
Kanakua kanatuma copy ya mawasiliano yote kutoka kwenye simu yako ilimradi uwashe data umekwisha na kakiwa kwenye simu yako hakaonekani…
Kuka access kuna digit flan unazipiga kanatokea mfano those days kalikua na code name DAX.. una dial 3299 then unacall kanafunguka.
Option zake ndani ni za kuogofya..
1. Kana record simu zote kwa majina uliosave kwenye simu yako kanatuma kwenye email ya mhusika..
2. Kanatuma Copy ya sms zote kwa majina kama ulivyosave kwenye simu yako.
3. Kana tuma hadi misscalls na email zote zinazoingia kwenye simu yako na
4. Kanatuma gps location ya simu ilipo …
Solution:
Kukatoa mkuu hako ni kufanya hard reset tu..
View attachment 2374729
Mfano wake huo apo
Hakuna haja ya kureact kiasi hicho boss, sio mtaalamu wa IT ndio mana nimekuja kuuliza hapa ilitakiwa tu unielekeze.Sasa unatuletea ngonjera za kuwa hacked. Una nini cha mno hadi uwe hacked? Huo ni upuuzi mumewekeana kwenye simu zenu afu unasema your hacked. Do you think hacking is that cheap?
Acha utoto mkuu.
Naandika hapa kwakuwa ni uhakika.Nmeibiwa simu wakuu mnanisaidiaje niweze kuiblock isitumike
Inawezekana mkuuHV haiwezekan kufunga cm ilio ibiwa mkuu