Msaada wakuu mtu amehack simu yangu

Mkuu pole sanaa!!
Kuna ka app flani kanaitwa ‘
‘Android Phone control’
Haka ni hatari sadly kana kama mb 30..
Kanafanya kazi back ground kakiwa installed kwenye simu yako umekwisha coz ..
Kanakua kanatuma copy ya mawasiliano yote kutoka kwenye simu yako ilimradi uwashe data umekwisha na kakiwa kwenye simu yako hakaonekani…
Kuka access kuna digit flan unazipiga kanatokea mfano those days kalikua na code name DAX.. una dial 3299 then unacall kanafunguka.

Option zake ndani ni za kuogofya..
1. Kana record simu zote kwa majina uliosave kwenye simu yako kanatuma kwenye email ya mhusika..
2. Kanatuma Copy ya sms zote kwa majina kama ulivyosave kwenye simu yako.
3. Kana tuma hadi misscalls na email zote zinazoingia kwenye simu yako na
4. Kanatuma gps location ya simu ilipo …


Solution:

Kukatoa mkuu hako ni kufanya hard reset tu..
View attachment 2374729
Mfano wake huo apo
Hii haipo playstore
 
Naomba msaada wenu wataalamu wa haya mambo. Kuna mtu anapata meseji zangu ninazo wasiliana na watu iwe kwa WhatsApp au kawaida ila hajawahi kushika simu yangu hata kwa sekunde moja.
Watu wa system wana software moja ya Waisraeli inasoma mpaka WhatsApp bila ya wewe kujua. Software inauzwa kwa nchi tu na kampuni moja ya Israeli na niliambiwa kuwa TCRA yetu na hao vijana wa kazi wanayo.

Kama ni hao hakuna ujanja labda maana hata ukifanya hard reset ni kazi bure labda tu uitupe hiyo Simcard japo huyo anayekufuatilia bado anaweza akaanza tena ukipata namba mpya na akaifahamu.

Pole!
 
Jaribu kubonyeza *1234# halafu piga. Kama haitaleta kitu chochote basi katumia njia nyingine.
 
Unawza ujinga tu ngojaa jiandaeni am coming to capture dsm stay tune
IMG_20221006_221309.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom