msaada wakuu memory card yangu imetiwa password

nxon

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,162
406
kuna mtu aliishika simu yangu akaweka password kwenye memory card haifunguki kabisa inanitaka niweke hizo pswd sizifamamu.
nimejaribu kuiweka kwenye computer haionekani kabisa. ndo ilo tu wakuu msaada wenu
 
Hakuna jinsi, mwambie akupe password otherwise nunua mpya. Kuna thread nyingine inaliongelea hili.
 
jaribu kutafuta mtu anaetumia ubuntu au linux version nyingne ukiifungua utaliona file lifute ukiwa huna uhakika ni lipi hasa unaweza ukaback up mafile yako muhimu pemben the rest ukayafuta kwa kubonyeza cntrl+Delete hope itakusaidia kuyapata mafile yako lkn kwa simu i thnk security level inakuwa supported na module iliyopo ktk cmu sidhan kama utaweza itoa
 
kuna mtu aliishika simu yangu akaweka password kwenye memory card haifunguki kabisa inanitaka niweke hizo pswd sizifamamu.
nimejaribu kuiweka kwenye computer haionekani kabisa. ndo ilo tu wakuu msaada wenu

Taja simu ilokuepo hio memory card
 
ucjari fanya hivi..tafta cm ya symbian af weka memor yko then click format...bt data zko hatito kuwepo tena n pacword pia itakua haipo xo memo itakua mpya..
 
Dahhh, sasa ni memory card yako au ya simu yako? maana Sumbawanga wana uwezo wa kuibandika pw memory card yako.
 
Mh jaman nijuavyo mm hiyo pasword haikai ktk m card ila ni simu husika jaribu kuopt computr zaid
 
ucjari fanya hivi..tafta cm ya symbian af weka memor yko then click format...bt data zko hatito kuwepo tena n pacword pia itakua haipo xo memo itakua mpya..
cm ya symbian ni aina gani mkuu nipe ufafanuzi vizuri mavitu mageni haya
 
Back
Top Bottom